PATA PICHA YA COUPLES’ SLEEP OVER ZILIZOPITA ZIKUPE HAMASA YA HII KUBWA INAYOKUJA

 Hii ni couples’ sleep over ya mwaka jana pale Shynovo Hotel. Tumefanyia hapa kama couple sleep over mbili au tatu kuanzia tunaanza. Hii ni discussion ya ijumaa usiku. Huwa inakuwa moto mpaka watu wanachelewa sana  kulala
 Discussion ya Ijumaa jioni ikiendelea, wengine wakiwa wanaendelea kufika

 Discussion ya Jumamosi asubuhi baada ya breakfast, yani huwa hapatoshi kwa namna watu wanavyofunguka
 Hapa ndipo Seduta Hotel, Mitaa ya Salasala, Hili ni bonge la kiota, Tulifanyia Couples’ sleepover ya valentine mwezi wa pili mwaka huu. Waliokuwepo wanakumbuka moto wake. This time tupo hapa hapa kwa mara ya pili. Sitaki kuelezea sana uhondo na teachings zitakazo mwagika hapa
 Rogers na Joyce Ibengwe ni permanent members wa couples network, nao hawajawahi kukosa hata event moja
 Discussion za jioni hadi usiku zikiwa zimeanza Seduta Garden, hapa ndoa nyingi sana zilipona
 Adelard na mkewe Dr. Tandi nao hawajawahi kosa hata moja tangu wahudhurie Couple sleepover ya mwisho ya Shynovo hotel
 Mambo ya maakuli kwa sanaaaaaa, Jossy wa Weimar Lawi akiongoza jahazi
 Dr. Kweka na mkewe Proscovier, tangu wameingia kwenye hii network ni shangweee tuuuuu
 Hawa ni baadhi ya waliohudhuria Valentine Couples’ sleepover Seduta Hotel February 2014. Utakutana nao ukija hiii ya 17, 18 na 19 October 2014. Hapo mbele ni Pastor Hiza, yani kwenye ishuz za mahusiano na life in general hii namba ni nyingine kabisaaa, mke wake sasa ndo usiseme. Hawa watakuwepo siku ya jumamosi tar 18/10/2014 kufanya mambo pale Seduta Hotel

Hiki ndicho kiwanja cha tukio husika, Couples’s sleepover 2014 “Closer than before” tar 17, 18 na 19 October 2014.

Kama unataka kuhudhuria event hiii soma tangazo hilo hapo chini na mwambie na mwenzako. Ziko nafasi za couples 24 tu zilizobaki. Ada ni sh 270000/= Unaweza kulipa sh 100,000 ili kubook nafasi yako na utamalizia balance iliyobaki wiki mbili kabla ya tukio. Kwa maelezo ya hoteli ilipo utapewa mara baada ya kuonyesha nia ya kuhudhuria. Karibu sana na mwalike na mwenzakoLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *