Bwana na bibi harusi Abbas na Mariam wakiwa wamepoz siku ya harusi yao pale Msasani Tower Hall
Nikihojiana kitu na baba mdodgo wa Mariam, Mzee huyu alitufurahisha sanaaaaa
Tayari kwa kwenda kuwashukuru wazazi
Nikitoa baadhi ya maelekezo wka maharusi
Dr. Ramadhan Mlinga na Mkewe, hawa ni wazazi wa Abbas Mlinga
Kaka Kita, ambaye alikuwa floor manager, kazi nzuri brother
Picha kwa hisani kubwa ya GOBO MEDIA ya kaka mkubwa Zungu. wapate kwa 0715 993 988 na 0788 477 333