PICHA: KAMBI YA WATOTO WA MSASANI LUTHERAN CHURCH. BUNGU B

20150626_094010

 

 

 

 

20150626_094028

Watoto wa Sunday School Msasani Lutheran church walioko kambini Bunju B. Nilipata fursa ya kuzungumza nao katika makundi ya wavulana na wasichana katika mambo yahusuyo athari za mapenzi ya jinsia moja. Pamoja na kwamba mambo haya yanaonekana nyeti kwa watoto lakini ukweli ni kwamba ibilisi anawaanzia mapema sana na anazipanda mbegu chafu ndani yao wakiwa wadogo, bahati mbaya wazazi, ndugu na hata maeneo ya dini hayana ujasiri wa kufunguka na kuwaeleza, mimi naona bora nivunje ukimya.

 

 

 

 

20150626_103528

 

20150626_103546 20150626_10360820150626_111958

20150626_121723

 Nikiwa na wasichana baada ya kumaliza mafundisho20150626_121729Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *