SPOTLIGHT PRIVATE INVESTIGATION L.T.D – MKOMBOZI WAKO KATIKA UCHUNGUZI

 

 

 

 

spotlight image

 

SPOTLIGHT PTIVATE INVESTIGATION COMPANY LIMITED

Kwa nini ununue ardhi na kujenga kwa gharama bila kujua uhalali wa kiwanja kisha ubomolewe? Kwa nini uajiri mtu bila kufahamu tabia na uwezo wake?? Kwa nini uwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu usiyemfahamu vizuri? Kwa nini uolewe/uoe bila kufahamu historia ya mtu huyo? Kwa nini ununue gari bila kufanya uhakiki wa uhalali wake?? Kwa nini ununue vitu visivyo na ubora kisha vikudhuru?? Kwa nini upate shida kumfahamu mtu aliyekufanyia jambo baya? Kwa nini tuishi na watu ambao si raia?? Sasa kuna kampuni imefunguliwa rasmi kwa ajili ya upelelezi binafsi! Iko mbezi beach dar es salaam, Jogoo, plot no. 53 Onset house!! Tutakusaidia kufanya aina yoyote ya upelelezi unayotaka!! Tuna Madaktari, wanasheria, wasanifu majengo, wahandisi, n.k. Barua pepe ni spotlightinvestigation@gmail. Simu ni 0762 939985, 0753931243. 0713407182Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *