Search

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE TAMASHA LA TWENDE ZETU KWA YESU: UWANJA WA UHURU-DSM: 17.06.2017

Dr. Chris Mauki akiwa na Mch. Hiza pamoja na Askofu  Alex  Malasusa wakiingia uwanjani

Mwimbaji wa nyimbo za injili, Christina Shusho akiimba baadhi ya nyimbo zake kabla ya Dr. Chris Mauki kupanda jukwaani ili  kutoa mada.

Meza kuu.

Vijana kutoka kona mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na viunga vyake katika tamasha la Twende zetu kwa Yesu.

Watu wa Mungu wakiwa tayari kabisa kumsikiliza mtoa mada Dr. Chris Mauki.

Dr. Chris Mauki akiwasalimu watu waliopata nafasi ya kuhudhuria tamasha la Twende zetu kwa Yesu.

Dr. Chris Mauki akiongea na umati wa vijana waliohudhuria tamasha ya Twende zetu kwa Yesu katika uwanja wa Uhuru

Talk ikiendelea

Upako wa kufundisha ukiwa umekolea.

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *