Search

PICHA: SEND OFF YA CATHERINE TARIMO: NGOME HALL-SINZA: 05.08.2017

Bibi harusi mtarajiwa, Catherine Tarimo akiwa na Matron wake.

Kiongozi wa shughuli, MC. Dr. Chris Mauki. Mtumishi wa Mungu Mch. Sekumbo akifungua kwa sala   Baba mzazi wa Catherine, Mr. Samweli Tarimo akitoa neno la Baraka kwa mtoto wake   Bibi harusi mtarajiwa akimkabidhi zawadi mume wake mtarajiwa Mr. Amandus Mashamba   MC. Dr. Chris Mauki akiteta jambo na Mr. Kinabo, ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Send off ya Catherine Tarimo   Catherine Tarimo akimtambulisha rasmi mume wake mtarajiwa   Catherine Tarimo akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake   Bibi harusi mtarajiwa akikabidhi zawadi kwa wazazi wake kama njia ya kusema asante kwa malezi bora waliyompatia 

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *