Search

PICHA: SEND OFF YA ALICE KIBASA: HELLENIC GARDEN: 31.08.2017

Alice Kibasa (Bibi harusi mtarajiwa) akiingia ukumbini huku akipewa support ya nguvu na dada yake  MC. Dr. Chris Mauki ndiye aliyekuwa kiongozi wa shughuli nzima ya send off ya Alice Kibasa Mtumishi wa Mungu akifungua kwa sala Bibi harusi mtarajiwa akikata keki ya siku ya send off yake Alice Kibasa (Bibi harusi mtarajiwa) akimtambulisha mume wake mtarajiwa Mr. Riziki Mbembela Hii ndio kamati nzima ya maandalizi ya send off ya Alice Kibasa wakiwa katika picha ya pamoja

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *