Search

PICHA: SEND OFF YA ANGEL FABIAN MASAWE: DANKEN HOUSE-MIKOCHENI: 07.09.2017

Angel Fabian Masawe (Bibi harusi mtarajiwa) akiingia ukumbini ndani ya Danken House MC. Dr. Chris Mauki Mtumishi wa Mungu akifungua kwa sala usiku wa send off ya Angel Fabian Masawe Mwenyekiti wa kamati akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye usiku wa send off ya Angel Masawe Angel Masawe (Bibi harusi mtarajiwa) akiwa na Matron wake  Wazazi wa bibi harusi mtarajiwa Mr. & Mrs. Fabian Masawe Angel Masawe (bibi harusi mtarajiwa)  akiwa na mume wake mtarajiwa Mr. Edwin Loti  Bibi harusi mtarajiwa akimtambulisha mume wake mtarajiwa Mr. Edwin Loti Kiongozi wa shughuli, MC. Dr. Chris MaukiWazazi wa bibi harusi mtarajiwa, Mr. & Mrs. Fabian Masawe wakitoa neno la baraka kwa binti yao Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akitoa shukuruni kwa wageni waalikwa waliofika ukumbini

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *