Search

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE KITCHEN PARTY YA HAPPINESS: HEKIMA GARDEN-MIKOCHENI: 10.09.2017

Bibi harusi mtarajiwa Happiness akiwa tayari kabisa kumsikiliza mtoa mada Dr. Chris Mauki

Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akisalimiana na bibi harusi mtarajiwa Happines Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akiongea na bibi harusi mtarajiwa kuhusu umuhimu wa mwanamke kusimama katika nafasi yake pindi aingiapo kwenye ndoa Darasa likiendelea kutoka kwa Dr. Chris Mauki Umakini katika kumsikiliza Dr. Chris Mauki

Somo linaponoga 

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *