PICHA: DAY ONE YA COUPLES BOND 2017 “MORE FIRE” :GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL: 24.11.2017

Burudani zilianza mapema sana, baada tu ya watu kuwasili hotelini. Chakula cha jioni kilishaandaliwa mapema sana Couples wakipata Starter kwa ajili ya kupasha matumbo moto 

 Talk ilianza mara tu baada ya wanandoa kupata chakula cha jioniDr. Chris Mauki akiongea na wanandoa kwenye Couples Bond 2017 More fire Darasa limekolea  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *