PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA: TREASURY SQUARE-DODOMA: 30.11.2017

Dr. Chris Mauki akiset mambo sawa kabla ya kuanza kutoa madaDr. Chris Mauki akiteta jambo na Prof. Peter  A. Kopoka kutoka UDOM Brigedia General John Julius Mbungo, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru (Kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bw. Bahame Nyanduga wakiwa tayari kabisa kuzikiliza mada kutoka kwa Dr. Chris Mauki.Commisioner wa Maadili ya Viongozi wa Umma  Mhe. Jaji Mstaafu Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho. Meza kuu, kulia ni Mwakilishi wa Sector binafsi Bw. Ali Mufuruku, wa pili kutoka kulia ni Prof. Seleman Ngware (UDSM) wa tatu kutok kulia ni Prof. Peter A. Kopoka (UDOM) na mwisho ni Dr. Chris Mauki (UDSM) Dr. Chris Mauki akitoa mada yake ya jinsi gani familia inaweza kuwa msingi wa kujenga au kubomoa maadili katika ngazi ya Familia na Taifa kwa ujumla Baadhi ya makatibu wakuu wa Wizara wakichukua pointi kutoka kwa Dr. Chris Mauki wakati alipokuwa akitoa mada. Kila mtu alikuwa busy kuchukua madini kutoka kwa Dr. Chris Mauki

Mtoa mada Dr. Chris Mauki akikazia pointi ya jinsi gani Taifa linaweza kuwa na maadili mazuri kama kila mtu katika ngazi ya familia atasimama kwenye nafasi yake.

Tafakari yakinifu  Brigedia General John Julius Mbungo, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru (Kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bw. Bahame Nyanduga

Pointi inapogusa moyo na kuingia kwenye mifupa ni lazima utulie na kutafakari  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *