PICHA: HARUSI YA EMMANUEL SWAI NA MKEWE KIPENZI PATRICIA: WHITE SANDS HOTEL: 02.12.2017

Mama mlezi wa Emmanuel Swai (Bwana harusi) akiingia ukumbini na baba mzazi wa bibi harusi Mr. Gil Sole  Maids and Grooms men wakiingia ukumbini Best Man & Matron (Mr. & Mrs. Zephania Msuya) wakisafisha njia kabla ya maharusi kuingia ukumbiniNdugu, jamaa na marafiki wa bibi harusi kutoka Spain walikuja Tanzania kwenye harusi ya ndugu yao Patricia Gil Sole (Mrs. Emmanuel Swai) Mr. & Mrs. Emmanuel Swai wakiingia ukumbini Mtumishi wa Mungu Mr. Albert Swai akifungua kwa sala MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa Bwana harusi wakitoa neno la shukurani kwa maharusi  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *