PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA TFDA-HEADQUARTER-DAY TWO: 13.12.2017

Leo ilikuwa ni siku ya pili ya Training ya Dr. Chris Mauki kwa Staff wa TFDA kuhusu Stress and Stress Management Darasa likiendelea Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu kukomboa wakati kama njia mojawapo inayoweza kupunguza msongo wa mawazo sehemu ya kazi. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *