PICHA: HARUSI YA SAMWELI NYANGE NA MKEWE KIPENZI DR. ANETH: MIRADO HALL: 06.01.2018

 Best Mana na Matron wakiingia ukumbini. Maharusi Mr. Samweli Nyange na mkewe Dr. Aneth wakiingia ndani ya Mirado hall. Mtumishi wa Mungu Fr. Jerome Mkamwa akifungua kwa sala. Mwenyekiti wa kamati Prof. Eustella Bhalalusesa akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa. Dr. Hillary Dachi (Dean, School of Education -UDSM) akipokea keki kutoka kwa maharusi kwa niaba ya wafanyakazi wa School of Education-UDSM Maharusi wakigonga glass  pamoja na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia  Prof. Joyce  Ndalichako

 Director wa shughuli MC. Dr. Chris Mauki. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *