PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE RETREAT YA CEO’s na MD’s WA MABENKI. MALAIKA BEACH RESORT-MWANZA 25.01.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na CEO’s na MD’s wa mabenki, siku ya jana pale Malaika Beach Resort-Mwanza Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu work-life Balance, ni namna gani unaweza kubalance majukumu ya kazini, nyumbani, familia, pamoja na jamii inayokuzunguka katika uwiano sawia MD’s na CEO’s wa mabenki yaliyo chini ya Umoja Switch wakifuatilia somo kutoka kwa Dr. Chris Mauki kuhusu Work-life balance Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *