Wanawake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye event ya “Mwanamke Stuka
”
Dr. Chris Mauki akiongea na wanawake waliojitokeza kwenye event ya “Mwanamke stuka” kuhusu jinsi ya kujijengea na kukuza fikra za mafanikio
Wazungumzaji wengine wa kwenye event ya “Mwanamke stuka” wakimfuatilia kwa ukaribu Dr. Chris Mauki, kushoto ni Erick Shigongo akifuatiwa na Mama Victor na mwisho kulia ni Pastor Debora Kaisi
kicheko mtetemo
Nondo zikishuka kutoka kwa Dr. Chris Mauki, huku zikitawaliwa na vicheko pale pointi inapogusa mahala pake
Sakina Lyoka akiwa na Diana Gasper, mbeba maono ya Mwanamke Stuka
Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa moja