PICHA: MAFUNDISHO YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA KANISA LA T.A.G-POTTER’S HOUSE-MAKONGO JUU: 25.02.2018

Pastor Christopher Mlaponi, Mchungaji wa kanisa la T.A.G- Potter’s House Makongo juu akimkaribisha Dr. Chris Mauki pamoja na mkewe Miriam Mauki kwa ajili ya huduma Miriam Lukindo Mauki akihudumu kwa uimbaji katika ibada  Watumishi wa Mungu, Dr. Chris Mauki na mkewe Miriam Mauki Dr. Chris Mauki akijiandaa kufundisha somo la nafasi ya upendo katika familia na jamii kwa ujumla Mara paap!!! keki hiyooo. Miriam Mauki alimfanyia Surprise Dr. Chris Mauki katika siku ya kukumbuka  ya kuzaliwa kwake (Birthday) Pastor Christopher na mama mchungaji wakibariki keki ya Birthday. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *