PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WANAFUNZI WA MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE: 28.02.2018

Hii ndio topic ambayo Dr. Chris Mauki alifundisha kwa Wanafunzi wa Muhimbili University of Health and Allied Science Dr. Chris Mauki akiongea na wanafunzi kuhusu changamoto za mahusiano na jinsi zinavyoweza kuharibu malengo ya mwanafunzi katika maisha  Wanafunzi wa Muhimbili University of Health and Allied Science wakiwa wamejitokeza kwa wingi kusikiliza talk ya Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na viongozi wa ofisi ya Dean of students-MUHASKwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *