PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU SELF-CONFIDENCE KWA WACHEZAJI WA KLABU YA SIMBA: SEA SCAPE HOTEL: 04.03.2018

Topic Wachezaji wa Klabu ya Simba wakiwa tayari kujifunza kutoka kwa Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akiongea na wachezaji wa Klabu ya Simba kuhusu umuhimu wa kujiamini wakati wakiwa mchezoni na hata nje ya mchezo Emmanuel Okwi akimfuatilia kwa ukaribu Dr. Chris MaukiDr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi kuhusu saikolojia ya kujiamini ilivyo na mchango mkubwa katika kuhakikisha timu inapata ushindi. Haruna Niyonzima akimshukuru Dr. Chris Mauki kwa madini aliyoyapata Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *