PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA STAFF WA HASA CUSTOMS CLEARANCE CO. LTD: 08.03.2018

Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani Kampuni ya HASA Customs Clearance Co. Ltd iliandaa event maalum kwa ajili ya wanawake na kisha kumualika Dr. Chris Mauki kuongea nao kuhusu nguvu aliyonayo mwanamke katika jamii.  Staff wa HASA Customs Clearance Co. Ltd wakimfuatilia Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akiongea na Staff wa HASA Customs Clearance Co. Ltd kuhusu nguvu aliyonayo mwanamke katika familia na jamii kwa ujumla  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *