PICHA: HARUSI YA KITETO MASHOMBO NA MKEWE KIPENZI NASRA: PRIMROSE HALL-MBEZI BEACH: 06.04.2018

Best man na Matron wakiingia ukumbini  Maharusi, Mr. & Mrs. Kiteto Mashombo wakiingia ukumbini  MC. Dr. Chris Mauki akiwakaribisha maharusi ukumbini. Bwana harusi akimlisha keki mke wake kipenzi Nasra.Wazazi wa bwana harusi, Dr. & Mrs Mashombo MC. Dr. Chris Mauki  Bwana harusi akiwatambulisha wazazi wake  Wachaga wakifanya mambo yao ndani ya Primrose hall Oyoooo!!!! ilikuwa ni full shangwe. Man at work, MC. Dr. Chris Mauki. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *