PICHA: TRAINING YA PUBLIC SPEAKING AND PROFESSIONAL PRESENTATION- FINAL DAY : SHAMOOL HOTEL: 28.04.2018

Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu vitu vya kuepuka  kufanya wakati wa kuongea kwenye professional  presentation and public speaking Wanafunzi wa Trainig ya Public speaking and professional presentation wakisikiliza kwa umakini mafundisho kutoka kwa Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa training ya Public speaking and professional presentation Wahitimu wa Training ya Public speaking and professional presentation wakiwa katika picha ya pamoja. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *