PICHA: HARUSI YA KHERI SAJILO NA MKEWE KIPENZI JENIPHER: KRISTO MFALME HALL-TABATA: 28.04.2018

Matron na Best man wakiingia ukumbini  Maharusi, Mr. & Mrs. Kheri Sajilo wakiingia ukumbini katika siku yao muhimu ya harusi iliyofanyika pale Kristo mfalme-Tabata MC. Dr. Chris Mauki Mwenyekiti wa kamati, Mr. Kabea akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa  MC. Dr. Chris Mauki akitoa maelekezo juu ya utaratibu wa kugonga shampeni  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *