PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU “STRESS MANAGEMENT” KWA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU YA KKKT-DMP: STELLA MARIS HOTEL-BAGAMOYO: 01.05.2018

Dr. Chris Mauki akiwa na viongozi wa KKKT-DMP Makao makuu kabla ya kuanza kufundisha kuhusu jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo makazini Naibu katibu mkuu utumishi, utawala na milki-KKKT Dayosisi ya Pwani na Mashariki, Mch. Dr. Enock Mlyuka akimkaribisha Dr. Chris Mauki kuongea na watumishi wa KKKT-DMP makao makuu kuhusu stress and stress management. Mkao huu ni kiashiria kwamba mtumishi wa Mungu hakutaka kupitwa na hata pointi moja kuhusu mada inayotolewa na Dr. Chris Mauki. Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi ni kwa jinsi gani msongo wa mawazo unavyoweza kuathiri ufanisi wa kazi Ni muhimu kuchukua kila pointi wakati darasa likiendelea  Watumishi wa KKKT-DMP Makao makuu wakiwa katika picha ya pamoja.Pichani kutoka kulia ni Mr. Godfrey Nkini(Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani)  akifuatiwa na mtumishi wa Mungu Mch. Dr. Hoyce Mbowe akifuatiwa na Mtoa mada Dr. Chris Mauki na mwisho ni mtumishi wa Mungu Agnes Lema (Naibu katibu mkuu KKKT-DMP). Kutoka nyuma kushoto ni Naibu katibu mkuu utumishi, utawala na milki-KKKT -DMP, Mch. Dr. Enock Mlyuka akifuatiwa na Msaidizi wa Askofu Mr. Chediel Lwiza Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *