PICHA: HARUSI YA CHRISTOPHER PETER MATOLAH NA MKEWE MAUREEN HASSAN: MTANA HALL-KAWE BEACH: 02.06.2018

Mama wa Bwana harusi akiingia ukumbini  Flower girls wakisafisha njia kabla ya maharusi kuingia ukumbini Wenye shughuli yao, Mr. & Mrs. Christopher Matolah wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki  Mmeonaaa!!! Mwenyekiti wa kamati, Betty Mkwasa akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa. Man at  work Mr. Charles Boniface Mkwasa. 

Mr. & Mrs. Boniface Mkwasa wakitoa nasaha kwa maharusi  Wangoni katika ubora wao Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *