PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA VIJANA WA KANISA LA T.A.G-KIBAGA HARVEST MISSION: 16.06.2018

Vijana wa kanisa la T.A.G Kibanga Harvest Mission wakiwa tayari kabisa kupata chakula cha ubongo kutoka kwa Dr. Chris Mauki  Mtoa mada Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akiongea na vijana kwenye semina ya mahusiano iliyoandaliwa na kanisa la T.A.G Kibanga Harvest Mission, kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *