Search

PICHA: PRE-RETIREMENT TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA UDSM ILIYOANDALIWA NA DPS-UDSM: 21.06.2018

Topic Dr. Chris Mauki akiongea na staff wa University of Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya kustaafu kwenye Pre-retirement training iliyoandaliwa na DPS-UDSM

Watu wengi hufikiria kuhusu kustaafu inapokaribia miaka michache kabla ya kustaafu, jambo hili linapelekea watu wengi kupokea mafao yao na kisha kutojua nini cha kufanya. Matokeo yake ni kutumia pesa ya mafao vibaya na kuishia kuwa na msongo wa mawazo. Ndio maana kuna umuhimu wa kuwafundisha na kuwapa watu skills kabla ya kustaafu. (Dr. Chris Mauki, 2018)

Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu umuhimu wa  kuwa na malengo ya muda mrefu na malengo ya muda mfupi  katika Pre retirement training iliyoandaliwa na DPS-UDSM Darasa likiendelea  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *