PICHA: USIKU WA SEND OFF YA UPENDO MJENGWA: GOLDEN JUBILEE TOWER: 20.06.2018

Bibi harusi mtarajiwa, Upendo Mjengwa akiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki MC. Dr. Chris Mauki akisalimiana na aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova Mtu na mama yake. Bibi harusi mtarajiwa (Kushoto) akiwa na mama yake mzazi,  Mh. Jaji Sophia Mjengwa Bibi harusi mtarajiwa akimtambulisha rasmi mume wake mtarajiwa Mr. Dennis Mariwa kwenye usiku wa send off ya Upendo Dr. Chris Mauki akiwa na Waziri mkuu mstaafu, Mh. Jaji Joseph Warioba  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *