PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE COUPLE’S NIGHT: BEST WESTERN PENINSULA HOTEL-MASAKI: 22.06.2018

Mara nyingi katika mahusiano pale wapenzi wanapowasiliana haijalishi sana unasema nini bali unasemaje. Ni maneno ya Aunt Sadaka alipokuwa akifundisha umuhimu wa mawasiliano yenye afya katika kuboresha mahusiano Aunt Sadaka akifundisha umuhimu wa mawasiliano katika mahusiano Dr. Chris Mauki akiwa tayari kabisa kufundisha somo la nafasi ya mwanaume na mwanamke katika mahusiano

Dr. Chris Mauki akifundisha nafasi ya mwanaume na mwanamke katika mahusiano. Alikazia kwa kusema, mwanaume akikosa heshima kutoka kwa mwanamke anayempenda ni sawasawa na simba aliyejeruhiwa na anaweza kufanya kitu chochote kibaya.  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *