PICHA: RELATIONSHIP TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA VIJANA WA KANISA LA VCCT-MBEZI BEACH: 07.07.2018

Dr. Chris Mauki akikaribishwa na Pastor Samwel ili kuongea na vijana wa kanisa la VCCT  Dr. Chris Mauki akiwa tayari kabisa kuongea na vijana katika siku maalum ya Family Month Youth Program iliyoandaliwa na kanisa la Victory Christian Centre Tabernacle (VCCT) Dr. Chris Mauki akifundisha juu ya nini cha kufanya ikiwa kijana anapitia katika wakati mgumu katika maisha  ya mahusiano hususani pale mahusiano  yanapovunjika (Breakups). Moja kati ya vitu alivyosisitiza kwa kijana ni kutokuwa na haraka ya kwenda kwenye mahusiano mengine kama njia ya kujifariji, kwani wengi waliofanya hivyo waliishia kwenye majuto. Vijana wakiwa wametulia wakifuatilia somo kutoka kwa Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *