Dr. Chris Mauki akiongea na wanandoa wa huduma ya New life in Christ
Wanandoa wakiwa wametulia wakifuatilia somo kutoka kwa Dr. Chris Mauki
Kuna waliokuja na madaftari kwa ajili ya kuchukua notes za mafundisho ya Dr. Chris Mauki.
Mwenyekiti wa huduma New Life in Christ (DSM) Dr. Allison Mmanyi akiwa na mke wake wakifuatilia kwa ukaribu somo la Dr. Chris Mauki.
Upako wa kufundisha ukitiririka
Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa moja