PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE BAGPARTY YA BERNARD MUMWI: KILUVYA: 12.08.2018

Bwana harusi mtarajiwa, Bernard Mumwi (Mtoto wa pili wa Brigedia General Mumwi, Balozi wa Tanzania nchini Urusi) akiingia ukumbini huku akisindikizwa na dada zake. Sala kwanza  Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akiongea na bwana harusi mtarajiwa Mr. Bernard Mumwi kwenye bagparty yake  Bwana harusi mtarajiwa, Mr. Bernard Mumwi (Kushoto) akimfuatilia kwa ukaribu mtoa mada Dr. Chris Mauki Bwana harusi mtarajiwa Mr. Bernard Mumwi akichukua nondo kutoka kwa Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akiongea na bwana harusi mtarajiwa, Mr. Bernard Mumwi kuhusu mambo ya msingi ya kuzingatia aingiapo kwenye ndoa. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa moja



Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *