PICHA: HARUSI YA ALLEN MAFFALA NA MKEWE VICKY HERZOG: BAHARI BEACH-LADGER PLAZA: 18.08.2018

Baadhi ya ndugu na marafiki wa Vicky Herzog (Mke wa Allen) kutoka ujerumani hadi Tanzania kuja kushuhudia harusi ya ndugu yao. Mwenyekiti wa kamati, Mr. Kipasika akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa. Maharusi, Mr. Allen akiwa na mkewe kipenzi Vicky Herzog (Kutoka ujerumani) Baba wa bibi harusi, Mr. Herzog akitoa neno la baraka kwa maharusi Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *