PICHA: HARUSI YA ELISHA MTAWA NA MKEWE KIPENZI MAGRETH ASSEY: ELEGANCE HALL: 25.08.2018

MC. Dr. Chris Mauki akiwaingiza ukumbini Best man na Matron na kisha kufuatiwa na maharusi Best man & Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Elisha Mtawa wakiingia ukumbini Mtumishi wa Mungu, Diana Mtawa (Mama mzazi wa bwana harusi) akifungua kwa sala. Mwenyekiti wa kamati akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au [email protected] Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *