PICHA: MAHOJIANO YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SPEAKERS CONFERENCE: MAFAO HOUSE-NSSF ILALA: 01.09.2018

Mgeni rasmi katika Speakers Conference, Mr. Eric Shigongo akitoa mada kuhusu tasnia ya public speaking  Dr. Chris Mauki akipeana mkono na mgeni rasmi Mr. Eric Shigongo

Meza kuu ikifuatilia kwa ukaribu mjadala kuhusu public speaking   Dr. Chris Mauki akijadili jambo kuhusu mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuwa public speaker mzuri

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *