PICHA: ICEA LION INSURANCE NETWORKING DINNER ILIYOKUWA MODERATED NA DR. CHRIS MAUKI: SERENA HOTEL: 03.09.2018

Siku ya jana katika hotel ya Serena Dr. Chris Mauki alipata nafasi ya kumoderate event ya Icea Lion Insurance Networking dinner ambayo ilikuwa ni maalum kwa ajili ya kuwakutanisha wadau mbalimbali wanaofanya kazi pamoja na Icea Lion Insurance. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *