PICHA: TRANSLATORS NETWORK INTERNATIONAL CONFERENCE YA KANISA LA CHRIST EMBASSY: MLIMANI CITY HALL: 08.09.2018

Team ya Praise and worship wakiimba katika event ya Translators Network International Conference.  Dr. Chris Mauki akisimamia event kama moderator  Dr. Chris Mauki akimoderate event ya Translators  Network International Conference  chini ya kanisa la Christ Embassy  Pastor Elona akitoa neno kuhusu kitabu cha “Rhapsody of reality” kilichotafsiriwa katika lugha mbalimbali chini ya Translators Network International  Pastor Keni Egini, Country director wa kanisa la Christ Embassy akitoa neno kuhusu huduma ya Translators Network International ambao wametafsiri kitabu cha “Rhapsody of reality” Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *