Search
Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

DARASA LA ALHAMISI DR. CHRIS MAUKI: HATUA TANO ZA PENZI

HATUA TANO ZA PENZI (Ingawa wengi huishia hatua ya tatu) “Inawezekana hakuwa wakwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia...

PICHA: RELATIONSHIPS TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA TBL ILIYOANDALIWA NA RESOLUTION INSURANCE:13.02.2018

Katika kuelekea siku ya Valentine ambayo ni maalum kwa wapendanao, Dr. Chris Mauki alipata nafasi ya kuongea na staff wa TBL kuhusu masuala ya mahusiano na ndoa  Mkao...

PICHA: SEND OFF YA SARAH CHRISTOPHER MWAKASEGE: AICC-LAKE NYASA HALL-ARUSHA: 08.02.2018

MC. Dr. Chris Mauki akiteta jambo na Mtumishi wa Mungu, Mwalimu Christopher Mwakasege. Bibi harusi mtarajiwa, Sarah Mwakasege akiingia ukumbini Bibi harusi mtarajiwa...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JE WEWE NI WA TABIA IPI?

    JE WEWE NI WA TABIA IPI? Watu wowote unaokutana nao katika mzungumko wa maisha kama vile shuleni, katika biashara, safarini, maeneo ya ibada au sehemu...

PICHA: HARUSI YA ALEX MASAMU NA MKEWE KIPENZI LOVELUCK: MLIMANI CITY HALL: 03.02.2018

Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Alex Masamu wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Mr. Alex Masamu akiwa na Best Man wake  Wazazi wa...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA “MAN POWER CONFERENCE”: AKEMI HALL-GOLDEN JUBILEE TOWER: 03.02.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na mwanaume waliofika event ya Man Power Conference   Mmoja kati  ya wahudhuriaji wa Man Power Conference ambaye amesafiri kutoka Morogoro...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: UNAFANYA NINI UNAPOAMKA NA KUANZA SIKU VIBAYA?

UNAFANYA NINI UNAPOAMKA NA KUANZA SIKU VIBAYA? Tunaamini kabisa kwamba sio siku zote huwa za zinafanana. Mara nyingine siku huanza vema na kuendelea kwa furaha amani na...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA “MWANAMKE STUKA” : KARIMJEE HALL-POSTA: 27.01.2018

Wanawake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye event ya “Mwanamke Stuka” Dr. Chris Mauki akiongea na wanawake waliojitokeza kwenye event ya “Mwanamke...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE RETREAT YA CEO’s na MD’s WA MABENKI. MALAIKA BEACH RESORT-MWANZA 25.01.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na CEO’s na MD’s wa mabenki, siku ya jana pale Malaika Beach Resort-Mwanza Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu work-life Balance, ni...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: VITU 10 AMBAVYO HUTAKIWI KUMWAMBIA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO

VITU 10 AMBAVYO HUTAKIWI KUMWAMBIA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Sio jambo jema kabisa na linalopendelewa na mwanamke kuulizwa “naweza kukubusu?” wao hupendelea kuona...