Search
Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA: TREASURY SQUARE-DODOMA: 30.11.2017

Dr. Chris Mauki akiset mambo sawa kabla ya kuanza kutoa madaDr. Chris Mauki akiteta jambo na Prof. Peter  A. Kopoka kutoka UDOM Brigedia General John Julius Mbungo,...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: NAMNA YA KUKABILIANA NA NYAKATI ZA HUZUNI, MASONONEKO, MAUMIVU YA MOYO AU MAOMBOLEZO

NAMNA YA KUKABILIANA NA NYAKATI ZA HUZUNI, MASONONEKO, MAUMIVU YA MOYO AU MAOMBOLEZO Ni ukweli usiopingika kwamba japokuwa maisha yana nyakati nzuri na zenye kumbukumbu...

PICHA: SEND OFF YA NURU MWAMBOLA: DANKEN HOUSE-MIKOCHENI: 28.11.2017

Bibi harusi mtarajiwa, Nuru Mwambola (kushoto) akiwa na Matron wake Mary Mwenyekiti wa kamati Mr. Kalinjuna John akiwakaribisha wageni waalikwa  MC. Dr. Chris Mauki...

PICHA: HARUSI YA EDGER ISHENGOMA NA MKEWE KIPENZI VICKY: UBUNGO PLAZA: 25.11.2017

Maids & Grooms men wakifanya yao kabla ya maharusi kuingia ukumbini Mr. & Mrs. Edger Ishengoma wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki MC. Dr. Chris Mauki akiweka...

PICHA: DAY 2 YA COUPLES BOND 2017 “MORE FIRE”: GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL: 25.11.2017

 Pale unapoamua kufundisha kwa kutoa  mifano  Dr. Chris Mauki akishusha madini yake kwenye Couples bond 2017 More fire Miriam Lukindo Mauki akitolea ufafanuzi jambo...

PICHA: DAY ONE YA COUPLES BOND 2017 “MORE FIRE” :GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL: 24.11.2017

Burudani zilianza mapema sana, baada tu ya watu kuwasili hotelini. Chakula cha jioni kilishaandaliwa mapema sana Couples wakipata Starter kwa ajili ya kupasha matumbo...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JE UNAKIU NA NDOA YENYE MAFANIKIO?

JE UNAKIU NA NDOA YENYE MAFANIKIO? Somo hili ni kwa ajili ya watu wenye ndoto ya kuwa na ndoa zenye mafanikio. Kama hauna mpango wa kufunga ndoa hili somo si kwa ajili...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA “MWANAMKE ITAMBUE THAMANI YAKO”: ROMBO GREEN VIEW HOTEL: 19.11.2017

Tayari kabisa kusikiliza nondo kutoka kwa Dr. Chris Mauki Madini yanapenya kwenye Ubongo  Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu nguvu iliyomo ndani ya...

PICHA: HARUSI YA FRANCIS MNYEMA NA MKEWE KIPENZI LEOCADIA: ROYAL SKYLINE HALL-MBEZI BEACH: 18.11.2017

Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi Mr & Mrs. Fransic Mnyema wakiingia ukumbini kwa madoido Mwenyekiti wa kamati Mr. Francis Kiswata akifungua kwa sala...

PICHA: SEND OFF YA AMINA FOCUS: TEMBO-SUNSET HALLS-MBEZI BEACH: 17.11.2017

Bibi harusi mtarajiwa (Amina Focus) akiingia ukumbini Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Mr. Kamugisha akiwakaribisha wageni waalikwa  MC. Dr. Chris Mauki Bibi harusi...