Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU UFANISI KAZINI KWA STAFF WA DAWASA: JKT MGULANI: 02.03.2019

Dr. Chris Mauki akifundisha jinsi ya kuongeza ufanisi kazini.  Wakurugenzi wa idara mbalimbali za DAWASA wakifuatilia talk ya Dr. Chris Mauki kuhusu Ufanisi kazini Kwa...

PICHA: DINNER TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA TCC: SERENA HOTEL: 01.03.2019

Sales Director wa TCC akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili kuongea na Staff wa TCC Dr. Chris Mauki akiongea na Staff wa TCC kuhusu mahusiano Kwa mahitaji ya MC katika...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA EVE FRANK MAUKI: MWENGE SOCIAL HALL: 28.02.2019

Bibi harusi mtarajiwa, Eve Frank Mauki akiingia ukumbini Bibi harusi mtarajiwa, Eve Frank Mauki akiwa na mume wake mtarajiwa Mr. Ezekiel Clement  Kwa mahitaji ya MC...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: UNAFANYA NINI UNAPOAMKA NA KUANZA SIKU VIBAYA?

UNAFANYA NINI UNAPOAMKA NA KUANZA SIKU VIBAYA? Tunaamini kabisa kwamba sio siku zote huwa za zinafanana. Mara nyingine siku huanza vema na kuendelea kwa furaha amani na...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA VIJANA WA KANISA LA ANGLICAN ILIYOANDALIWA NA TAYO-DSM: 24.02.2019

Dr. Chris Mauki akiongea na vijana wa kanisa la Anglican kwenye event iliyoandaliwa na TAYO-DSM na kufanyika katika kanisa la St. Batholomew-Ubungo Vijana wa kanisa la...

PICHA: HARUSI YA DULLA TOWO NA MKEWE KIPENZI MARIAM: BLUE SAPPHIRE HALL-MBEZI BEACH: 22.02.2019

Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Dulla Towo  MC. Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: IFAHAMU NGUVU ILIYONDANI YA MWANAMKE “Mtazamo wa Kisaikolojia”

IFAHAMU NGUVU ILIYONDANI YA MWANAMKE “Mtazamo wa Kisaikolojia”  Mwanamke kwa mtazamo wa Mfalme Suleiman (Mith: 31:10, 20 – 30) Wahitaji, ndugu na wasiondugu...

PICHA: HARUSI YA MUDDY SADIKI NA MKEWE KIPENZI STELLA: KIRAMUU HALL-MBEZI BEACH: 16.02.2019

Maids wakisafisha njia kabla ya maharusi kuingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Muddy Sadiki wakiingia...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA ILI KUBORESHA MAHUSIANO

MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA ILI KUBORESHA MAHUSIANO Tunaposema mahusiano tunamaanisha Mahusiano baina ya marafiki wa jinsia moja Mahusiano baina ya wanafamilia Mahusiano...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA CATHERINE MUGAYA: DIAMOND JUBILEE HALL: 09.02.2019

Bibi harusi mtarajiwa, Catherine Mugaya akiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa bibi harusi mtarajiwa, Mr. & Mrs. Mugaya wakitoa neno la baraka kwa binti yao...