Search
Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: UHUSIANO KATI YA DAMU NA TABIA

UHUSIANO KATI YA DAMU NA TABIA Je unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu? Kwa kawaida kila binadamu yuko kwenye kundi mojawapo la damu kati ya...

PICHA: HARUSI YA DAUDI KIRENGA NA MKEWE KIPENZI FAITH (FATMA): MSASANI TOWER HALL: 30.12.2017

Best na Matron waliosimamia harusi ya Mr. & Mrs. Daudi Kirenga Maharusi Mr. & Mrs. Daudi Kirenga wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YALIYO BORA

JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YALIYO BORA Katika maisha yetu ya kila siku mara nyingi tunajikuta katika mazingira yanayotulazimu kufanya maamuzi magumu au...

PICHA: HARUSI YA ADAM SHAMTE NA MKEWE KIPENZI ASHA: KIRAMUU HALL-MBEZI BEACH: 23.12.2017

Maharusi Mr. & Mrs. Adam Shamte wakiingia ukumbini Maids waliosimamia usiku wa Mr. & Mrs. Adam Shamte. MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa Bwana harusi, Mr. & Mrs....

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE KONGAMANO LA KUNOA VIPAJI NA MAOMBEZI: BCIC-MBEZI BEACH: 22.12.2017

Vijana wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye semina ya kunoa vipaji Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu uhusiano ulipo kati ya kipaji na jamii inayotuzunguka Yalifanyika...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MBINU ZA KUKUZAIDIA KUWEKA UWIANO MZURI BAINA YA KAZI YAKO NA MAISHA MENGINE

MBINU ZA KUKUZAIDIA KUWEKA UWIANO MZURI BAINA YA KAZI YAKO NA MAISHA MENGINE “Work – life balance” Maranyingi ni kitu kinachoonekana hakiwezekani na ni kigumu kwa...

PICHA: HARUSI YA MATINDA JACOB MTATIRO NA MKEWE KIPENZI PENDO: PRIMROZE HALL: 17.12.2017

Best man and Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Matinde Mtatiro kwa furaha kabisa wakiingia ukumbini Mtumishi wa Mungu Mr. Matiku akifungua kwa sala...

PICHA: HARUSI YA JIMMY MAUKI NA MKEWE KIPENZI JANE: SUN SET HALLS-FLAMINGO: 16.12.2017

Flowers Girls wakisafisha njia kabla ya maharusi kuingia ukumbini Best man na Matron wakiingia ukumbini Mr. & Mrs. Jimmy Mauki wakiingia ukumbini Mtaalam wa Shampeni...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SEMINA YA NDOA ILIYOANDALIWA NA KKKT-KURASINI: 15.12.2017

Dr. Chris akiwa na Mchungaji wa KKKT-Kurasini, Mch. Prosper Chao Dr. Chris Mauki akiongea na Wanandoa waliohudhuria kwenye semina ya ndoa Wanandoa wakimfuatilia kwa...

PICHA: SEND OFF YA FARAJA ELISANTE NGURE: FILBERT BAYI HALL-KIBAHA: 14.12.2017

Maids wakisafisha njia kabla bibi harusi mtarajiwa kuingia ukumbini Bibi harusi mtarajiwa (Faraja Ngure) akisindikizwa na mdogo wake  Mtumishi wa Mungu akifungua kwa...