Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

KWA MAHITAJI YA USHAURI WA KISAIKOLOJIA “COUNSELING”

      KWA MAHITAJI YA USHAURI WA KISAIKOLOJIA “COUNSELING” Usife na matatizo yako shingoni, njoo tuzungumze. Wasiliana nasi kwa namba 0715 308...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUWAFANYA WAPENZI WA PEMBENI?

KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUWAFANYA WAPENZI WA PEMBENI? Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni...

PICHA: VCCT CAMPUS TOUR NDANI YA BAGAMOYO. DR. CHRIS MAUKI AMWAGA TALK. 12.01.2016

  Endelea Kutufuatilia kwenye instagram @chrismauki_events na @chrismauki

PICHA: SEND-OFF YA SCHOLASTICA OTTO MOSHA. MARANTHA HALL, MSIMBAZI CENTRE. 09.01.2016

Dance la nguvu kutoka kwa SENENE MODERN TRADITIONAL Lilinogesha na kupendezesha usiku wa Schola..   Kwa furaha kama hizi tushirikishe tukusaidie kufanya tukio lako...

PICHA: HARUSI YA GODFREY QAMARAH NA MKEWE LINDA. BEST WESTERN HALL. COLOSSEUM HOTEL. 03.01.2015

  Kwa furaha kama hizi tushirikishe tukusaidie kufanya tukio lako kuwa shangwe teleee. Tupigie kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com

DARASA LA ALHAMISI na DR. CHRIS MAUKI: CHANGAMOTO ZA KIAFYA NA KISAIKOLOJIA KWA KINAMAMA WANAOLEA WATOTO PEKE YAO “SINGLE MOTHERS”

        CHANGAMOTO ZA KIAFYA NA KISAIKOLOJIA KWA KINAMAMA WANAOLEA WATOTO PEKE YAO  “SINGLE MOTHERS” Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi...

PICHA: UTAMU WA MWISHO WA COUPLES’ SLEEPOVER “TIME TO BOND” 2015, DAY THREE.

Kama kawaida ya siku zilizopita, baada tuu ya breakfast na kuchangamsha vinywa, couples zoote hurudi kwenye eneo lililoandaliwa for free discussion na kupata darasa la...

PICHA: UTAMU WA COUPLES’ SLEEPOVER “TIME TO BOND” 2015, DAY TWO.

Wapendanao Katika Mapooozii…….   Muda wa Chakula cha Usiku Picha na mapozi kwa kwenda mbelee   Menu Ikiendeleaa.. Kumbuka hii ni day 2,...

PICHA ZA UTANGULIZI: COUPLES’ HOT TALK – BNN CONVENTIONAL CENTRE: QUALITY CENTRE

PICHA: SEND- OFF YA ANGEL AGREY KISANGA. DANKEN HOUSE. 24.09.2015

  Kwa furaha kama hizi tushirikishe tukusaidie kufanya tukio lako kuwa shangwe teleee. Tupigie kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com