Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

PICHA: BAG PARTY YA PRINCE NA FRANK LUPEMBE. MBEZI BEACH 20.09.2015

Hawa ni marafiki na class mates wa binti yangu Ronel nilikutana nao kwenye talk Mama wa Prince na Frank akishukuru baada ya talk

PICHA: HARUSI YA HAPPYGOD NA MKEWE WINFRIDA. MARANTHA HALL, MSIMBAZI CENTRE. 19.09.2015

  Kwa furaha kama hizi tushirikishe tukusaidie kufanya tukio lako kuwa shangwe teleee. Tupigie kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com

PICHA: PARENTING TALK. MBEZI GARDEN HOTEL. 19.09.2015

WAZAZI NA WALEZI WANAOJALI HII HAPA NI YAKWENU

PICHA: USIKU WA KITCHEN PARTY YA DOROTH. RIVER SIDE, UBUNGO. 13.09.2015

W  

PICHA: WOMEN TALK “HAPPILY EVER AFTER EVENT”. DANKEN HOUSE. 13.09.2015

    My dada, my sistooo Aunt Sadaka Gandhi akipiga shule ya “A happy woman” fWapiganaji, wanaharakati, wapenda mabadiliko, blogers pia. Nikiwa na...

PICHA: USIKU WA HARUSI YA JACKSON KANUMBA NA MKEWE LILIAN “ABELA”. SUNSET-TEMBO HALL,MBEZI BEACH. 12.09.2015

Mc, Dr. Chris Mauki akisimamia event nzima   Bi harusi Lilian alikuwa ni gumzo kwenye kudance   Dansi la nguvu, yaani hapa kila mmoja anamuonyesha mwenzake...

PARENTING SEMINA “SEMINA YA WAZAZI NA WALEZI” JUMAMOSI 19.09.2015 – MBEZI GARDEN HOTEL

Naendelea kuwaumbusha wazazi na walezi. Soma kila kitu hapa kwenye tangazo. Hii sio ya kukosa kwa wewe mzazi na mlezi unayejali.

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: AINA TANO ZA KUACHANA KWENYE MAHUSIANO (Five ways to breakup)

    AINA TANO ZA KUACHANA KWENYE MAHUSIANO (Five ways to breakup) 1. Kuchemka hadi kumwagika “The Boil Over” Katika hali hii unaanza kuziona dalili...

BAG PARTY TALK YA ERASTUS KOMBA. CARDINAL RUGAMBWA HALL – 06.09.2015