chris mauki

SIKU YA MSANII TAR. 25.10.2014 MLIMANI CITY HALL.

Hii ni siku ya kitaaifa ya kutambua mchango wa wasaniii mbali mbali katika nchi yetu. Siku nzima itakuwa ni shamrashamra tupu na usiku tunakutana Mlimani city hall....

PICHA ZA MATUKIO KATIKA COUPLES’ SLEEP OVER 2014 “CLOSER THAN BEFORE” SEDUTA HOTEL TAR 17 -19 OKTOBA 2014

 Dr. Chris Mauki na mke wake mpenzi Miriam, waanzilishi na waandaaji wa Couples’ sleep over, Hii ya Seduta ilikuwa ni ya sita  Mc John Mambya na mkewe...

PICHA 15 ZA WIVES IN CHRIST EVENT, PICCOLO BEACH RESORT -12.10.2014

Nikifundisha somo kuhusu NGUVU YA MWANAMKE  Nikisisitiza jambo  Wanawake wakifuatilia somo kwa makini  Wakati wa maswali na majibu ulikuwa moto sanaaa...

KUTOKA MAGAZETINI: DR. CHRIS MAUKI, JOKATE MWEGELO, NA SIZA MA-MC SIKU YA MSANII – OKTOBA 25 MLIMANI CITY

Na Mwandishi Wetu BALOZI wa Redd’s Jokate Mwegelo, Dr. Chris Mauki wametangazwa kuwa washehereheshaji katika maadhimisho ya Siku Ya Msanii Tanzania yanayotarajiwa...

PICHA 15 ZA HARUSI YA RAPHAEL SOKA NA MKEWE FRANSISCA – COCO BEACK HALL 11.10.2014

 Bwana harusi Raphael Soka na mkewe mpenzi Fransisca wakiwa kwenye garden ya Double Tree Hotel  MC Dr. Chris Mauki akitoa maelekezo ya namna ya utoaji wa...

NYERERE DAY AEROBICS BONANZA – GENESIS GYM, OIL COM SAYANSI

Asubuhi ya leo wadau wakienda sawa kwenye bonanza ya aerobics pale Oil Com Sayansi  Kwa mbali Miriam naye akienda sawa, kulia kabisa  mwenye ni member wa kataa...

MAN ENOUGH

Kutokana na mabadiliko makubwa ya kimaisha, kijamiii na kimtazamo kwa kiasi kikubwa sasa mwanaume huangaliwa kama MWANAUME kwa mambo mengi sana kama vile uwezo wake wa...

ALAMA ZA KUJUA KUWA MUME WAKO ANAKOSA UJASIRI KWAKO AU ANA “INFERIORITY COMPLEX”: PART 1

Hali hii inatokea ikiwa kama wewe mwanamke umemzidi mume wako, kielimu, kipato, kiakili, kifursa, kujulikana “fame”, au hata kama umetoka kwenye familia iliyo juu...

INSANITY: BONGE LA PROGRAM YA MAZOEZI YA AEROBICS

 Kwa wale wapenda AEROBICS, mambo ya Abbs na cardio za kila aina, hii program ya INSANITY ni nzuri sanaaaaa. Mimi na Miriam tumeianza kwa wiki sasa, eisshhhhh ni...

INASHANGAZA SANA, NA HAIINGII AKILINI

Inashangaza sana, ni ngumu na haiingii akilini, unakuwa na mpenzi ambaye anathamini marafiki zake kuliko hata wewe, yuko radhi ashinde nao kuliko ashinde na wewe,...