Search

Category: Mahusiano

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JINSI GANI YA KUWA NA UJASIRI KATIKA KAZI

JINSI GANI YA KUWA NA UJASIRI KATIKA KAZI Kukosa ujasiri limekuwa ni tatizo ambalo limewafanya wengi kujichukia, kutofikia malengo yao, kutokupata kazi nzuri, na...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA SIO MPAKA DOCTOR ASEME: LEADERS CLUB: 04.11.2017

Ilikuwa asubuhi na mapema watu wakipasha misuli moto ndani ya Leaders Club  Zoezi limekolea Mazoezi kwa afya Mr. John Koyiet (Trainer) akitoa neno kuhusu faida za...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: TABIA 10 ZA WANAUME AMBAZO WANAWAKE WENGI HUCHUKIZWA NAZO

TABIA 10 ZA WANAUME AMBAZO WANAWAKE WENGI HUCHUKIZWA NAZO 1. Kijana wa mama Mwanaume wa aina hii wakati wote utamkuta kagandana na mama yake katika kilakitu kuanzia...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MAMBO MUHIMU YA KUKUSAIDIA KUWA NA FURAHA MUDA WOTE

MAMBO MUHIMU YA KUKUSAIDIA KUWA NA FURAHA MUDA WOTE 1.  Miliki furaha yako wewe mwenyewe Ni vema ukifahamu kwamba baadhi ya vitu unavyovitegemea vinaweza visikupe...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: IELEWE MILIMA NA MABONDE YA KWENYE MAHUSIANO

IELEWE MILIMA NA MABONDE YA KWENYE MAHUSIANO Katika ongezeko la kuvunjika kwa ndoa nyingi lililopo duniani sasa, ambalo linahusisha kila nchi, kila kabila, kila tamaduni...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE BAGPARTY YA CHRISTIAN SONELO: HEKIMA GARDEN: 01.10.2017

Bwana harusi mtarajiwa  Mr. Christian Sonelo (Kulia) akikata keki ya siku ya bagparty yake.  Mr. Christian Sonelo (Bwana harusi mtarajiwa) akiwa na best man wake ...

PICHA: HARUSI YA ARETAS ANAKLET NA MKEWE KIPENZI DOROSTER: VICTORIA GENESIS HALL-KIMARA: 30.09.2017

Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Aretus Anaklet wakiingia ukumbini huku wakiwa wamejawa na furaha  Mtumishi wa Mungu Mrs. Lwanja akifungua...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: SABABU 7 ZA KWANINI WANAWAKE HUKOSA UAMINIFU KATIKA MAHUSIANO YAO

SABABU 7 ZA KWANINI WANAWAKE HUKOSA UAMINIFU KATIKA MAHUSIANO YAO (Sababu hizi zimetokana na utafiti uliofanywa kwa wanawake wenyewe)   Yamkini umeshawahi kusikia...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE IBADA YA 1 & 2: KANISA LA UHURU MOROVIAN: MSIMBAZI: 17.09.2017

Dr. Chris Mauki akijiandaa kuongea na waumini wa kanisa la Uhuru Morovian -MsimbaziWaumini wa kanisa la Uhuru Morovian- Msimbazi wakimsikiliza Dr. Chris Mauki Dr. Chris...

PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI “TEAM BUILDING” NA WAFANYAKAZI WA FAIDIKA TANZANIA “LETSHEGO STAFF”: NDOTO POLEPOLE-BAGAMOYO: 16.09.2017

Wafanyakazi wa Faidika Tanzania “Letshego Staff” wakiwa tarayi kwa training ya Dr. Chris Mauki kuhusu Team building  Dr. Chris Mauki akifundisha kwa mifano...