Category: Mahusiano

COUPLES’ SLEEPOVER 2014 “CLOSER THAN BEFORE – SIO YA KUKOSA

PATA PICHA YA COUPLES’ SLEEP OVER ZILIZOPITA ZIKUPE HAMASA YA HII KUBWA INAYOKUJA

 Hii ni couples’ sleep over ya mwaka jana pale Shynovo Hotel. Tumefanyia hapa kama couple sleep over mbili au tatu kuanzia tunaanza. Hii ni discussion ya...

IF YOU NEED AN MC, ESPECIALLY A FEMALE MC!! KAMA UNAHITAJI MC WA KIKE

  Miriam Lukindo Mauki ni muimbaji wa nyimbo za injili na mshehereshaji MC wa matukio mbalimbali. Ikiwa unahitaji MC wa tukio lako, hususan MC wa kike basi usisite...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO ULIO BORA NA WENYE UFANISI KATIKA KUWASILIANA “Becoming an effective communicator”

Ni vema tukikubaliana na ukweli kwamba hakuna hata mmoja kati yetu ambaye alizaliwa akijua kuwasiliana. Wote tunajifunza, na inabidi mtu kuamua kukubali kujifunza...

BAADHI YA KUMBUKUMBU ZA GRADUATION YANGU AFRIKA YA KUSINI

 Tukiwa JN Airport Jumatatu ya tar 1.9.2014 tayari kuanza safari yetu kwenda Afrika ya kusini  With my lovely family, My wife Miriam, Rommy and Ronel...

JE UNAUJUA MTEGO WA HASIRA ZA WANAUME?

Wanasayansi watafiti wamegundua kwamba japokuwa wanaume wote kwa sili ya ubongo wao wana hasira zinazohusisha fujo na ugomvi “violence”, sehemu hii ya ubongo wa...

HARUSI YA AHMED CHANDE NA MKEWE SHADIA KATIKA PICHA. 7-9-2014 AT DOUBLE TREE BY HILTON

 Dr. Chris Mauki akisimamia show kama Director of Ceremony  Ahmed na Shadia wakikata keki  Dr. Chris Mauki na DJ Omari ndani ya Double Tree by Hilton  Maharusi Ahmed...

KWA BAADHI YA WALE WANAOTAFUTA WATOTO USIKU NA MCHANA NA WALA HAWAJUI KWANINI HAWAPATI

Yamkini wewe ni mmoja wa watu wenye kiu ya muda mrefu ya kupata mtoto, yamkini umeshakwenda kwenye kila aina ya hospitali na kwa wataalamu wa tiba, yamkini umeshawahi...

MWANAMKE AKIKUTILIA SHAKA, JIULIZE!!!!

   Ni vema ukafahamu kwamba ukiona mwanamke, mke wako au mpenzi wako wa kike ameanza kukuchunguza au kukuchokonoachokonoa au kukufanyia utafiti kwenye kitu...

MIRIAM MAUKI NA MISE KATIKA LIVE PERFOMANCE MKESHA WA MAOMBI CCC UPANGA IJUMAA