Category: Mahusiano

MWANZA TOUR DAY ONE 9.8.2014

 Tunaanza safari  Ndo tumetua Mwanza  Nikifanya interview na waandishi wa habari wa magazeti katika hoteli ya Kingdom  Interview na waandishi...

UKITAKA KUIJUA HALI YA NDOA USIMUULIZE MWANAUME

Ni mara nyingi sana na kuna uwezekano mkubwa sana kwa mwanaume kuona, kufikiri, au kudhania kuwa ndoa au mahusiano yake yako sawa kabisa na hayana tatizo lolote, tena...

DARASA LA ALHAMIS KATIKA PICHA: BONDING YA BABA NA MTOTO SIO EVENT NI PROCESS, CHOOSE TO PAY THE PRICE

JE UNAKIJUA CHANZO CHA HASIRA NA FUJO ZA WANAUME KWENYE MAHUSIANO??

Ingawa katika mahusiano wanawake na wanaume hukasirika katika kiwango cha kufanana, katika uzito wa kukasirika huko na urefu au ufupi wa hasira hizo, tafiti zinaonyesha...

PRESSING THE RIGHT BUTTON

Neno kujali “to care” (‘anajali’ ‘hanijali’) linatofauti sana kwenye mtazamo wa mwanaume na mwanamke. Nakupa mfano, wewe mwanaume ukituma fedha kwa wazazi wa...

TAZAMA PICHA CHACHE ZA COUPLES FRIENDS NETWORK “C2C”: VISIT YA KUWAPONGEZA DR. KWEKA NA PROSCOVIER KWA KUPATA MAPACHA

 Couples friends wakiwa ndani ya nyumba ya Dr Kweka na mkewe Proscovier Kutoka kushoto: Tandi wa Adelard, Subi wa Eric Mchome, Carol wa Michael Nkya na Adeline wa...

CHUKUA DAKIKA ZAKO 3 KUTAZAMA PICHA 12 ZA HARUSI YA FRED NA PENINA TAR 2.8.2014 DANKEN HALL MIKOCHENI

 Wageni waalikwa ndani ya Danken Hall  Fred na Penina wakisaidiwa kenye ukataji wa keki na wasimamizi wao Dr. Harrison na mkewe Diana  Fred akitoa...

VIDEO: VISIT YA COUPLES FRIENDS NETWORK “C2C” KWA DR KWEKA BAADA YA KUPATA MAPACHA

//www.youtube.com/get_player Hii ni leo Jumapili Tar 3.8.2014. The group is growing big and stronger

HAYA WALE WA KANDA YA ZIWA. MWANZA TUNAKUJA

Jumapili hii Tar 10 nitakuwa Gold crest Hotel Mwanza kuanzia saa nane mchana. Couples night gala, itabamba zaidi ya ile ya mwaka uliopita. Mtu wangu wa unayeweza kufika...

CRAZY CYCLE

Wakati mwanamke anahesabu kupendwa na kuonyeshwa penzi ni pale mwanaume anapoonyesha kuwa anamuelewa, anamjali, anajali hisia zake, kama vile kufahamu nyakati ambazo...