Category: Mahusiano

ILE TUMEKANYAGA MWANZA TU

Yani ile tumekanyaga tu Mwanza, mapokezi yakatushangaza kwanza, mbele waandishi na makamera, nyuma makamera ya video, Hamasa ya watu wa Mwanza kwenye hizi couples talks...

WAKATI UNAANGALIA MIAKA YAKE USISAHAU KUANGALIA UKUAJI WAKE WA AKILI (MENTAL AGE VS CHRONOLOGICAL AGE YA MPENZI)

Unaweza kukuta unakomaa kuangalia utofauti wa miaka yenu wewe na mpenzi wako na ukasahau kwamba kuna kitu kinaitwa mental age “ukuaji au upevukaji wa akili yake”....

DOZI YA JUMAMOSI: KAMA HUJUI JIFUNZE

Kumlinda na kusimama upande wa mke wako dhidi ya mawimbi ya ndugu au rafiki zako ni jukumu la mwanaume yeyote. Mwanaume asiyefanya hivyo au anayefanya tofauti na hivyo...

VILIVYOKULETA NDANI YA PENZI SASA VINAKUTOA NJE

Katika mahusiano yawezekana kabisa vile vitu au kile kilichokuvutia kumkubali mpenzi wako na kuamua kuwa naye maishani baada ya muda fulani wa maisha ya pamoja kitu...

DAY 2. MWANZA COUPLES NIGHT GALA KATIKA PICHA

 Tukiwa kwenye breakfast Kingdom Hote, Always pleasing when she is close  Wonderful coincidence, Mc Luvanda “a friend and brother” alikuwepo...

MWANZA TOUR DAY ONE 9.8.2014

 Tunaanza safari  Ndo tumetua Mwanza  Nikifanya interview na waandishi wa habari wa magazeti katika hoteli ya Kingdom  Interview na waandishi...

UKITAKA KUIJUA HALI YA NDOA USIMUULIZE MWANAUME

Ni mara nyingi sana na kuna uwezekano mkubwa sana kwa mwanaume kuona, kufikiri, au kudhania kuwa ndoa au mahusiano yake yako sawa kabisa na hayana tatizo lolote, tena...

DARASA LA ALHAMIS KATIKA PICHA: BONDING YA BABA NA MTOTO SIO EVENT NI PROCESS, CHOOSE TO PAY THE PRICE

JE UNAKIJUA CHANZO CHA HASIRA NA FUJO ZA WANAUME KWENYE MAHUSIANO??

Ingawa katika mahusiano wanawake na wanaume hukasirika katika kiwango cha kufanana, katika uzito wa kukasirika huko na urefu au ufupi wa hasira hizo, tafiti zinaonyesha...

PRESSING THE RIGHT BUTTON

Neno kujali “to care” (‘anajali’ ‘hanijali’) linatofauti sana kwenye mtazamo wa mwanaume na mwanamke. Nakupa mfano, wewe mwanaume ukituma fedha kwa wazazi wa...