Search

Category: Matukio

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE BAGPARTY YA BERNARD MUMWI: KILUVYA: 12.08.2018

Bwana harusi mtarajiwa, Bernard Mumwi (Mtoto wa pili wa Brigedia General Mumwi, Balozi wa Tanzania nchini Urusi) akiingia ukumbini huku akisindikizwa na dada zake. Sala...

PICHA: SEMINA YA NDOA YA DR. CHRIS MAUKI KWA WATUMISHI WA MUNGU WA HUDUMA YA “NEW LIFE IN CHRIST”: LUKOLO HALL-TABATA: 08.08.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na wanandoa wa huduma ya New life in Christ  Wanandoa wakiwa wametulia wakifuatilia somo kutoka kwa Dr. Chris Mauki Kuna waliokuja na madaftari...

PICHA: PARENTING TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAZAZI WA WANAFUNZI WANAOSOMA CANOSSA PRIMARY SCHOOL: 04.08.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na wazazi wa wanafunzi wanaosoma Canossa Primary School kuhusu vitu muhimu vya kuzingatia ili kuwa mzazi muwajibikaji. Alifundisha  vitu...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA MEN OF VICTORY: VCCT-MBEZI BEACH: 01.08.2018

Katika kutambua nafasi ya Mwanaume katika familia, kanisa la VCCT-Mbezi beach lilimualika Dr. Chris Mauki ili aongee na wanaume wa kanisa hilo kuhusu nafasi ya...

PICHA: ANNIVERSARY YA MIAKA 10 YA NDOA YA MR. ELIYA NA MKEWE CONSOLER: LAMADA HOTEL: 29.07.2018

Mr. Eliya akiwa na mkewe Consoler pamoja na watoto wao wakishangilia kwa furaha siku yao muhimu ya Anniversary ya miaka 10 ya ndoa yao  MC. Dr. Chris Mauki Miriam...

PICHA: HARUSI YA BERNARD ASSEY NA MKEWE KIPENZI SARAHMARTHA: PRIMROSE HALL-MBEZI BEACH: 28.07.2018

Best Man  & Matron wakiingia ukumbini  Wenye shughuli yao, Mr. & Mrs. Bernard Assey wakiingia ndani ya Primrose hall  Mtumishi wa Mungu, Eng. Temu akifungua...

PICHA: HARUSI YA STEPHEN MGAYA NA MKEWE KIPENZI GLORIA: MTANA HALL-KAWE: 21.07.2018

Maharusi, Mr. & Mrs. Stephen Mgaya wakiingia ukumbini Mtumishi wa Mungu Mchungaji Sembuche wa kanisa la K.K.K.T Kijichi akifungua kwa sala  MC. Dr. Chris Mauki Kwa...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA TIB CORPORATE BANK: MWALIMU NYERERE INTERNATIONAL CONFERENCE CENTER: 20.07.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na staff wa TIB Corporate Bank kuhusu Emotional Intelligence (EQ) na umuhimu wake katika maisha yetu ya kila siku, iwe kazini au katika jamii...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI JUU YA STRESS MANAGEMENT KWA STAFF WA INTERNATIONAL EXECUTIVE SERVICE CORPS ILIYO CHINI YA USAID: 18.07.2018

Staff wa International Executive Service Corps wakiwa tayari kwa darasa kutoka kwa Dr. Chris Mauki kuhusu Stress and Stress management. Dr. Chris Mauki akielezea baadhi...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA DORIS JOHN KIONDO: HEKIMA GARDEN: 12.07.2018

Bibi harusi mtarajiwa, Doris John Kiondo akiingia ukumbini  Bibi harusi mtarajiwa akiwa na  matron wake (Dorine) Mwenyekiti wa kamati, Mr. Sengeze akiwakaribisha...