Search

Category: Matukio

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WANANDOA WA KANISA LA CALVARY ASSEMBLIES OF GOD-GOSHENI: ILALA BOMA-DSM: 08.07.2018

Wanandoa wakimfuatilia Dr. Chris Mauki  Dr. Chris Mauki akisisitiza kuhusu umuhimu wa mawasiliano baina ya wanandoa   Dr. Chris Mauki akishusha nondo zake kwa...

PICHA: HARUSI YA STANLEY MANJORI NA MKEWE KIPENZI JULIETH: DELUXE HALL-SINZA: 07.07.2018

 Maids & Grooms men  wakisafisha njia kabla ya maharusi kuingia ukumbini Best Man na Matron wakiingia ukumbini Wenye shughuli yao, Mr. & Mrs. Stanley wakiingia...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA LILIAN MOSHA: MWENGE SOCIAL HALL: 05.07.2018

Bibi harusi mtarajiwa, Lilian Mosha akiingia ukumbini  Bibi harusi mtarajiwa akisalimiana  na wazazi wake, Mr. & Mrs. Mosha  Mwenyekiti wa kamati, Mr. Libert...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA EAST AFRICAN CABLES (TZ) LIMITED: 05.07.2018

Topic ya leo kwa staff wa East African Cables (TZ) Limited Dr. Chris Mauki akiongea na staff wa East African Cables kuhusu personal financial management  Staff wa East...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WALIMU WA RIGHTWAY PRIMARY SCHOOL-MBEZI BEACH: 04.07.2018

Walimu wa Rightway Primary School wakimfuatilia kwa umakini Dr. Chris Mauki. Dr. Chris Mauki akiongea na walimu wa Rightway Primary School kuhusu nafasi ya saikolojia...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAMAMA WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA MBEZI BEACH: 02.07.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na wamama wa kanisa la KKKT usharika wa Mbezi beach  Pale upako wa kufundisha unaposhuka katikati ya somo Darasa limekolea, watu wako busy...

PICHA: HARUSI YA ALLAN GWERA NA MKEWE JUDITH KWESIGA: MARANTHA HALL: 30.06.2018

Maharusi, Mr. & Mrs. Allan Gwera wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Bwana harusi akiwekewa mikono ya baraka na baba yake mzazi Burudani pia zilikuwepo za kutosha...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SPEAKERS’ DAY: SHAMOOL HOTEL-SINZA: 30.06.2018

Charles Nduku akifundisha kuhusu kanuni za uzungumzaji katika hadhira  Dr. Chris Mauki akishusha nondo kuhusu mbinu za kufanya ili mtu awe na confidence mbele za watu...

PICHA: HARUSI YA DENIS MARIWA NA MKEWE KIPENZI UPENDO MJENGWA: LUGALO GOLF HALL CLUB: 23.06.2018

Maharusi, Mr. Denis Mariwa na mkewe kipenzi Upendo Mjengwa  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi...

PICHA: DR. YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA TWENDE ZETU KWA YESU: UWANJA WA UHURU: 23.06.2018

Dr. Chris Mauki akiwa Pastor Lewis  Hiza  Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama akiwa na Dr. Chris Mauki Back stage, Maombi kabla ya kwenda kufungua rasmi tamasha kubwa...